Saturday, 26 May 2018

BREAKING NEWS: MBUNGE wa Chadema Afariki dunia Muhimbili


MBUNGE wa Chadema katika jimbo la Buyungu, mkoani Kigoma, Mwalimu Kasulu Bilango, amefariki dunia. Anaripoti Saed Kubenea 
Mwalimu Bilago amefariki dunia mchana huu katika hospitali ya Muhimbili alikokuwa akipata matibabu.

No comments:

Post a Comment