Fahamu Uwanja wa Majimaji Songea - MSUMBA NEWS BLOG

Sunday, 25 February 2018

Fahamu Uwanja wa Majimaji SongeaUwanja wa Majimaji upo katikati ya mji wa Songea mkoa wa Ruvuma na unamilikiwa na CCM. Ulijengwa mwaka 1979. Uwanja huu una uwezo wa kuchukua watazamaji 18,000 na utakuwa ukitumiwa na timu ya Majimaji kama Uwanja wa nyumbani msimu huu.
Comments


EmoticonEmoticon

Notification
This is just an example, you can fill it later with your own note.
Done