Kuhisi kuwa mpenzi wako anacheat huku akikana kwa sauti ya juu na kukuona kama unamsingizia ni jambo linaloumiza roho na kukosesha amani ya nafsi.

Kwa miezi mingi, nilikuwa nikiona mabadiliko makubwa kwa mwenzangu; simu zilifungwa maneno ya siri, alirudi nyumbani usiku wa manane akiwa na visingizio visivyo na msingi, na mapenzi yote na heshima kwangu vilipungua.

Kila nilipojaribu kumuuliza kwa ukweli, alipandisha hasira, kunifokea, na kunifanya nionekane mwenye wivu usio na maana. Hali hii iliniletea msongo mkubwa wa mawazo, nikiishi kwa hofu na wasiwasi huku nikitazama mahusiano yetu yakitumbukia kwenye shimo la usaliti.

​Nikiwa kwenye simanzi na nikitafuta njia ya kupata ukweli bila kuendelea kudanganywa na kuonekana mjinga, rafiki yangu wa karibu alinishauri kutafuta suluhisho la kienyeji badala ya kuendelea kugombana bila ushahidi.

Alinieleza kuwa wapo wataalamu wa kiasili wenye uwezo wa kufanya visomo vinavyoweza kumfanya mtu anayecheat afumanishe mwenyewe au kunaswa papo kwa papo bila kukana. SOMA ZAIDI.
Share To:

Post A Comment: