Kujenga au kununua nyumba ya familia ni ndoto ya kila mtafutaji, lakini kuona jasho lako la miaka mingi likitishia kupotea mbele ya macho yako ni maumivu yanayoweza kukutoa machozi ya damu.
Kwa miaka zaidi ya kumi, nilikuwa nikijinyima kila kitu nikifanya kazi usiku na mchana, nikipunguza matumizi ya familia, na kuchukua mkopo mkubwa ili kukamilisha ujenzi wa nyumba yetu ya ghorofa.
Hata hivyo, mambo yalianza kwenda mrama pale biashara yangu ilipokumbwa na mkwamo mkubwa, na nikashindwa kurejesha marejesho ya benki kwa miezi sita mfululizo.
Barua za vitisho kutoka benki zilianza kumiminika kila wiki, na hatimaye siku ya kutisha ikawadia pale matangazo ya dalali yanayotangaza mnada wa nyumba yangu yalipowekwa kwenye magazeti na kubandikwa mlangoni kwangu.
Nilipoteza amani ya moyo, nikashindwa kula wala kulala. Kila nikitazama mke wangu na watoto wangu waliokuwa wakilia kwa hofu ya kutupwa mtaani, nilijiona kama mwanamume niliyefeli kabisa. SOMA ZAIDI.
Post A Comment: