Kila mwanamke anapoingia kwenye ndoa, ndoto yake kubwa ni siku moja kuitwa mama na kushika mtoto wake mwenyewe mikononi. Kwa miaka mitano ya ndoa yetu, mimi na mume wangu tulikuwa tukitafuta mtoto kwa hamu na maombi makubwa.

Hata hivyo, maisha yetu yaligeuka kuwa mzunguko wa huzuni isiyoisha. Kila mara nilipopata furaha ya kugundua kuwa nina ujauzito, furaha hiyo haikudumu mimba zilikuwa zikitoka ghafla zikifikisha miezi miwili au mitatu tu.

​Tulitembea kwenye hospitali mbalimbali na kuonana na madaktari bingwa wa uzazi, lakini kila vipimo vilipofanyika, majibu yalikuwa yale yale: mimi na mume wangu tulikuwa salama kabisa na hatukuwa na tatizo lolote la kiafya.

Maneno ya masengenyo kutoka kwa majirani na baadhi ya ndugu yalianza kunichoma moyoni, wengi wakidai kuwa sitaweza kuzaa na mume wangu anapaswa kunitupa.

Nilibaki nikilia usiku kucha, nikihisi mwili wangu umeniangusha na ndoa yangu ikiwa ukingoni mwa kuvunjika. SOMA ZAIDI.
Share To:

Post A Comment: