Kufikisha umri wa miaka arobaini nikiwa bado nipo peke yangu bila mume au familia ilikuwa ni chanzo cha maumivu makubwa na msongo wa mawazo katika maisha yangu.

Kila siku niliwatazama rafiki zangu wa rika moja, wadogo zangu, na hata majirani wakifunga ndoa na kujenga familia zenye furaha, huku mimi nikibaki nikilia kwa siri nyumbani kwangu.

Kila mwanamume aliyekuja kwenye maisha yangu na kuonyesha nia ya kunioa, pindi tu alipokaribia kuchukua hatua za kutambulishwa nyumbani, alitoweka ghafla bila sababu yoyote ya msingi au kuanzisha migogoro ya ajabu na kuondoka.

Nilibaki nikidharaulika mtaani, nikipewa majina ya kejeli na ndugu, huku nikianza kukubaliana na matokeo kuwa labda nimezaliwa niishi peke yangu hadi uzee.

​Nikiwa kwenye simanzi nzito, shangazi yangu aliyekuwa akifahamu mateso yangu alinitembelea na kunieleza kuwa matatizo ya kukataliwa na kukosa mume katika umri mkubwa mara nyingi hutokana na nyota ya mahaba kufungwa na maadui au kuvishwa ukungu wa kishirikina unaowafanya wanaume waone huna mvuto. SOMA ZAIDI.
Share To:

Post A Comment: