Kufanya kazi kwa bidii na kujinyima kwa miaka mingi ili kuweka akiba ya maisha ni hatua inayotoa matumaini ya kuwa na maisha ya baadae yenye usalama.
Hata hivyo, pale mtu unayemwamini anapokugeuka, akachukua fedha zako zote na kukuacha ukiwa huna hata sarafu moja mfukoni, maumivu yake hayaelezeki.
Mfanyabiashara mmoja niliyemuchukulia kama ndugu alinishawishi kuwekeza fedha zangu zote kwenye biashara yake kwa ahadi ya kuanza kugawana faida.
Baada ya kumkabidhi mamilioni ya shilingi niliyokuwa nimejikusanyia kwa jasho na damu, alianza kunikimbia.
Kila nilipomfuata anidai au anirudishie mtaji wangu, alinikejeli, kunitishia na hata kunicheka mbele ya watu akidai sina lolote la kumfanya kwani anafahamu watu wengi wenye ushawishi.
Nilibaki nikiteseka na msongo mkubwa wa mawazo, nikishindwa kulipa kodi ya nyumba na hata kununua chakula cha familia yangu.
Nikiwa kwenye machungu hayo, rafiki yangu wa karibu alinishauri nitafute msaada wa kiasili ili kumtia adhabu mtu huyo na kumlazimisha arudishe haki yangu. SOMA ZAIDI.

Post A Comment: