Kuingia kwenye ndoa na kuweka nia ya kujenga misingi thabiti ya kifedha na mumeo ni ndoto ya kila mwanamke, lakini pale ambapo mwanaume anapofanya kazi kwa bidii kisha anachukua mshahara wake wote na kuutumia na michepuko, maisha ya familia hugeuka kuwa mateso ya kila siku.

Kwa zaidi ya miaka minne, mume wangu alikuwa na tabia iliyostua na kuumiza sana. Kila mwisho wa mwezi ulipowadia na mshahara wake kuingia kwenye akunti, alibadilika ghafla. Hakurejea nyumbani kwa siku tatu au nne, na simu zake zote zilikuwa hazipatikani.

​Aliporejea, alikuja na mifuko mikavu bila hata shilingi mia moja ya matumizi. Pesa zote za mshahara alizimalizia kwenye hoteli za kifahari, baa, na kuwanunulia zawadi za ghali wanawake wa nje, huku mimi na watoto tukibaki bila chakula, tukidaiwa kodi ya nyumba, na watoto wakifukuzwa shuleni kwa kukosa ada.

Kila nilipojaribu kumhoji kwa uchungu, aliniletea vipigo, matusi ya nguoni, na kunitishia kunifukuza nyumbani. Nilibaki nikilia usiku na mchana, nikijiona sina thamani na nikitazama watoto wangu wakiteseka kwa ukata wakati baba yao anatapanya mamilioni ya fedha na michepuko mtaani. SOMA ZAIDI.
Share To:

Post A Comment: