Kupotelewa na mtu unayempenda ni jeraha linalovuja damu kila siku bila kupona. Kaka yangu mkubwa, ambaye alikuwa tegemeo na kiongozi wa familia yetu, aliondoka nyumbani kwenda mijini kutafuta maisha miaka 18 iliyopita.
Tangu siku hiyo, hakurudi, na mawasiliano yalikatika kabisa. Tulimtafuta kila kona hospitalini, vituo vya polisi, na hata kwenye vyombo vya habari lakini hatukupata hata chembe ya matumaini.
Mama yetu alizeeka kwa majonzi, kila kukicha akilia na kutazama mlangoni akihisi labda mwanaye angerudi. Miaka 18 ya upweke, sintofahamu, na simanzi ilianza kutufanya tuamini kuwa labda kaka yetu hayuko hai tena duniani. Furaha ilitoweka kabisa kwenye familia yetu. SOMA ZAIDI.

Post A Comment: