Siku niliyofukuzwa kazi itabaki kuwa moja ya siku zenye maumivu makubwa maishani mwangu. Nikiwa kama mfanyakazi mwaminifu niliyependa majukumu yangu, nilishitukizwa kwa tuhuma nzito za uongo za ubadhirifu wa fedha za kampuni.
Licha ya kujitetea kwa nguvu zote na kuonyesha ushahidi, uongozi ulikataa kunisikiliza na kunifukuza kazi mara moja bila hata kiinua mgongo.
Maisha yalibadilika ghafla kuwa magumu mno. Ndani ya miezi sita, nilishindwa kulipa kodi ya nyumba, nikashindwa kuhudumia familia yangu, na marafiki niliokuwa nao kazini walinitenga wakiniogopa kama mhalifu.
Msongo wa mawazo ulinisonga sana nikijua sifa yangu ya miaka mingi imechafuka kwa uongo uliotengenezwa na maadui zangu wa kazini waliokuwa wakionea wivu mafanikio yangu. SOMA ZAIDI.

Post A Comment: