Kujituma kazini na kuonyesha matokeo bora ni lengo la kila mfanyikazi anayetaka kukua kitaaluma. Kwa zaidi ya miaka mitano, nilikuwa mfanyikazi wa mfano katika kampuni yetu.
Nilikuwa wa kwanza kuwasili ofisini, wa mwisho kuondoka, na miradi yote niliyopewa nilitekeleza kwa ufanisi wa hali ya juu. Hata hivyo, kila mwaka ulipowadia muda wa tathmini na kupandishwa vyo (promotions), jina langu lilipitwa kimyakimya.
Walikuwa wakipandishwa cheo watu niliowafundisha kazi au wale waliokuwa na uzoefu mdogo kabisa. Kila nilipojaribu kumuuliza mkurugenzi au idara ya rasilimali watu (HR), nilipewa ahadi hewa za “mwaka ujao ni zamu yako.”
Nilibaki nikijihisi nimekwama, nikiwa na majuto na msongo mkubwa wa mawazo huku nikiona juhudi zangu zote zikienda bure. SOMA ZAIDI.

Post A Comment: