Familia ndiyo kila kitu katika maisha ya mwanamume, na inapovunjika, unahisi kama dunia yote imekuporomokea. Kwa miaka mingi tulikuwa tukilinda na kuijenga ndoa yetu, tukipitia mengi na kupata watoto wazuri.
Hata hivyo, taratibu migogoro midogo midogo ilianza kuingia ndani ya nyumba yetu. Kila siku kulikuwa na maneno ya shombo, kutokuelewana, na hasira zisizo na msingi.
Siku moja baada ya ugomvi mkubwa, nilirudi nyumbani jioni na kukuta nyumba ipo tupu mke wangu alikuwa amebeba kila kitu, akachukua watoto, na kutoweka bila kuniambia anakokwenda.
Nilibaki peke yangu kwenye nyumba iliyokuwa na baridi na ukimya wa kutisha. Nilijaribu kumtafuta kwa simu lakini alikuwa ameniziba (blocked) kila mahali, na ndugu zake walipokea simu zangu kwa dharau na kejeli wakidai kuwa sitamuona tena.
Wasiwasi, upweke, na maumivu ya kuwakosa watoto wangu viliniletea msongo mkubwa wa mawazo. Nilianza kujiona kama mwanamume niliyefeli kabisa. SOMA ZAIDI.

Post A Comment: