Mara ya kwanza niliposikia mume wangu akisema kwa utani kuwa mimi ni kama friji, nilicheka tu. Lakini baadaye maneno hayo yalianza kuniuma. Hakusema moja kwa moja, lakini kila wakati tulipokuwa karibu, nilihisi kama kuna kitu kinamkera. Hakuwa akifurahia tendo la ndoa kama zamani, na mara nyingi alinitafuta visingizio.

Kama mwanamke, nilianza kujihisi duni. Ushawishi wangu wa kimapenzi ulizidi kupungua, na hali hiyo ilianza kuathiri ndoa yetu kwa ujumla. Nilipojaribu kumkabili, alinikwepa. Lakini siku moja nilimsikia akiongea na rafiki yake akisema kuwa mimi “sijui kumfurahisha mume,” na kwamba nilikuwa kama barafu kitandani.

Machozi yalinibubujika usoni mwangu. Nilimpenda sana mume wangu, na sikutaka kumpoteza. Lakini kwa hali ile, nilijua ni suala la muda tu kabla hajaanza kutoka nje ya ndoa au kuniacha kabisa. Nilianza kutafuta suluhisho. Niliangalia YouTube, nilisoma blogu, nikajaribu hata zile chai za mitishamba zinazouzwa mitandaoni lakini hakuna kilichosaidia.

Nilijaribu kujifunza mbinu mpya za kimapenzi, lakini bado hakukuwa na mabadiliko. Mume wangu alikuwa baridi zaidi yangu sasa. Hatukuwa tukiongea sana, hatukushiriki mapenzi kwa wiki kadhaa, na chumba chetu kiligeuka kuwa kama hosteli ya watu wawili wasiojuana.SOMA ZAIDI.
Share To:

Post A Comment: