Nilipoamua kugombea nafasi ya uongozi, watu wengi hawakunichukulia kwa uzito. Wapinzani wangu walikuwa na majina makubwa, uzoefu wa muda mrefu, na ushawishi mkubwa katika jamii. 

Wengi waliniambia nilikuwa napoteza muda wangu kwa kuingia kwenye uchaguzi ambao tayari ulikuwa umeamuliwa.

Lakini sikukata tamaa. Nilijua nilikuwa na maono ya kuwaletea watu maendeleo na nilitaka kuwapa sababu ya kuamini kwamba mabadiliko yanawezekana. 

Hata hivyo, kadri kampeni zilivyoendelea, changamoto ziliongezeka. Kulikuwa na maneno mengi ya kunikatisha tamaa.

Baadhi ya watu walieneza uvumi kwamba sikuwa na uwezo wa kuongoza. Wengine walisema sina mtandao wa watu wenye ushawishi wa kunisaidia kushinda. 

Wakati mwingine nilirejea nyumbani nikiwa nimechoka na kujiuliza kama kweli nilikuwa nimefanya uamuzi sahihi. SOMA ZAIDI.
Share To:

Post A Comment: