Nilipoanzisha biashara yangu, nilikuwa na ndoto kubwa sana. Nilitaka kuona biashara yangu ikikua na kuvutia wateja wengi, lakini ukweli ulikuwa tofauti.....TAZAMA VIDEO.

Eneo nililokuwa nafanyia biashara lilikuwa tayari na wafanyabiashara wakubwa waliokuwa wamejijengea jina kwa miaka mingi.

Kwa hiyo haikuwa rahisi. Kila siku nilifungua biashara yangu mapema na kusubiri wateja. Wakati mwingine nilikaa kwa saa nyingi bila kufanya mauzo ya kuridhisha

Wakati huo huo, nilikuwa nikiona maduka ya washindani wangu yakiwa yamejaa watu. Kwa kweli iliniumiza.

Kulikuwa na nyakati nilijiuliza kama nilifanya makosa kuanzisha biashara ile. Nilikuwa najituma kwa bidii, lakini matokeo hayakuwa yale niliyotarajia. 

Badala ya kukata tamaa, niliamua kuboresha huduma zangu. Nilihakikisha kila mteja anahudumiwa kwa heshima.

Nilisikiliza maoni yao na kujitahidi kufanya maboresho pale nilipoweza. Polepole baadhi ya watu walianza kugundua tofauti. Lakini bado ushindani ulikuwa mkubwa.SOMA ZAIDI.
Share To:

Post A Comment: