Mwanaangu alikuwa mtoto mwenye akili nyingi.
Tatizo lilikuwa kwamba akili hizo hazikutumika kwenye mambo mazuri mara nyingi. Tangu akiwa mdogo, alikuwa na tabia ya kutotii maelekezo, kugombana na watoto wenzake, na kuingia matatizoni shuleni karibu kila wiki.
Mwanzoni niliamini ni hatua ya kawaida ya ukuaji.
Lakini kadri miaka ilivyopita, tabia zake zilianza kuwa mbaya zaidi. Simu kutoka shuleni zilikuwa za kawaida kwangu.

Wakati mwingine niliitwa kwa sababu ya ugomvi, wakati mwingine kwa sababu ya kutoheshimu walimu, na mara nyingine kwa utundu uliowashangaza hata walimu wenye uzoefu. Kwa kweli nilichoka.
Nilijaribu kuzungumza naye kwa upole. Nilijaribu kumwadhibu alipokosea. Nilimpeleka kwa watu mbalimbali walioweza kumshauri.

Kwa muda mfupi alionekana kubadilika, lakini baada ya siku chache mambo yalirudi kama zamani. Kilichoniumiza zaidi ni kusikia baadhi ya walimu wakisema walikuwa wamekata tamaa.SOMA ZAIDI.
Post A Comment: