Kulikuwa na kipindi maishani mwangu ambapo nilikuwa sijitambui tena. Mwanzoni nilikuwa mtu mwenye furaha, confidence, na aliyependa kujitokeza mbele za watu.
Nilipenda kuvaa vizuri, kuzungumza kwa uhuru, na kujiamini kwenye kila sehemu niliyokuwa.
Lakini kadri muda ulivyopita, mambo yalianza kubadilika. Nilipitia maumivu mengi ya mahusiano. Nilivunjwa moyo mara kadhaa na watu niliowaamini sana.

Kila relationship ilipoisha vibaya, nilianza kupoteza sehemu ya confidence yangu. Polepole nilianza kuamini labda mimi ndiye nilikuwa tatizo.
Kwa kweli iliniumiza sana. Kilichoniumiza zaidi ni kuona watu wengine wakionekana wenye furaha kwenye mahusiano huku mimi nikijihisi kama sipendwi au sioni bahati kabisa. Wakati mwingine hata nikitaka kuzungumza na mtu mpya, nilikuwa najihisi sina mvuto wa kutosha.
Kulikuwa na siku nilijifungia ndani. SOMA ZAIDI.

Post A Comment: