Kwa zaidi ya miaka sita, niliishi nikipigania ardhi ambayo nilijua ilikuwa yangu halali. Nilikuwa nimeinunua kwa fedha nilizozitafuta kwa jasho, lakini muda mfupi baadaye watu wengine walianza kuidai. 

Kila nilipofikiri mgogoro umeisha, changamoto mpya iliibuka. Nilizunguka katika ofisi mbalimbali nikitafuta haki yangu, lakini sikuona mwisho wa matatizo hayo.

Hali hiyo ilininyima amani. Sikuweza kuendeleza mipango yangu ya kujenga nyumba kwa sababu sikuwa na uhakika kama ningebaki na ardhi hiyo. 

Watu wengi walinishauri niikate tamaa na nitafute sehemu nyingine, lakini moyo wangu haukukubali kupoteza mali yangu. SOMA ZAIDI.
Share To:

Post A Comment: