Kwa zaidi ya miezi sita, nilikuwa nikikabiliana na tatizo ambalo lilikuwa linaninyima Amani. Mazao yangu yalikuwa yanipotea usiku. Mwanzoni nilidhani ni wanyama wa porini waliokuwa wanaingia shambani. SOMA ZAIDI/TAZAMA VIDEO.

Lakini kadri muda ulivyopita, nilianza kugundua kuwa baadhi ya mazao yalikuwa yanavunwa kwa utaratibu ambao haukuonyesha kazi ya wanyama. Mtu alikuwa anaiba. Kwa kweli iliniumiza sana.

Nilikuwa nimewekeza muda, nguvu, na fedha nyingi kwenye shamba lile. Kila nilipoenda kuvuna, niligundua sehemu ya mazao imepungua. Hasara iliongezeka mwezi baada ya mwezi. Nilijaribu kulinda shamba.

Niliweka walinzi mara kadhaa, nikabadilisha ratiba za kutembelea shamba, na hata kuwaomba majirani wanisaidie kufuatilia hali ya eneo hilo. 
Share To:

Post A Comment: