Kwa miaka mingi, nilijivunia biashara yangu.

Nilikuwa nimeijenga kwa juhudi kubwa na nilikuwa na imani kubwa kwa wafanyakazi wangu. Tulikuwa kama familia, na sikuwahi kufikiria kwamba mtu ambaye nilimwamini angeweza kuwa chanzo cha matatizo yaliyokuwa yananikabili. Tatizo lilianza polepole.

Kila mwisho wa wiki nilipokagua hesabu za biashara, niligundua kulikuwa na upungufu wa fedha. Mwanzoni nilidhani ni makosa ya kawaida ya mahesabu au matumizi ambayo hayakuwa yameandikwa vizuri. Lakini hali iliendelea kujirudia.

Wiki moja ikageuka mwezi, na miezi ikazidi kwenda. Kiasi cha fedha kilichokuwa kinapotea kilianza kuongezeka. 

Nilianza kupata wasiwasi kwa sababu biashara yangu ilikuwa ikipata hasara ambayo sikuweza kuieleza. Kwa kweli nilichanganyikiwa sana.

Kilichoniumiza zaidi ni kwamba nilikuwa siwezi kumshuku mtu yeyote. Wafanyakazi wote walionekana waaminifu na walikuwa wamefanya kazi nami kwa muda mrefu.
Nilianza kufuatilia kila kitu kwa karibu zaidi.

Nilikagua stakabadhi, mauzo, na matumizi ya kila siku. Hata hivyo, sikuweza kupata jibu la wazi kuhusu chanzo cha upotevu wa fedha.
Kadri muda ulivyopita, hasara ilizidi kuongezeka.

Kulikuwa na wakati nilifikiria kufunga biashara kwa sababu sikuona namna ya kuzuia hali ile.SOMA ZAIDI.
Share To:

Post A Comment: