Nilipoanzisha kampuni yangu, nilikuwa na ndoto ya kuifanya ikue na kushindana na kampuni kubwa zilizokuwa sokoni. 

Tulifanya kazi kwa bidii na kuhakikisha kila mteja anapata huduma bora. Hata hivyo, ili kampuni iweze kupiga hatua kubwa, tulihitaji kupata zabuni kubwa ambayo ingetupa nafasi ya kukua. Haikuwa rahisi.

Mara kadhaa niliwasilisha maombi ya zabuni katika taasisi mbalimbali, lakini kila mara nilipokea taarifa kwamba kampuni nyingine ndiyo ilikuwa imechaguliwa. 

Kila kushindwa kuliniongezea maumivu na kunifanya nipoteze matumaini. Baada ya muda, hali ya kifedha ya kampuni ilianza kuwa mbaya.

Mapato yalipungua na baadhi ya miradi ilisimama kutokana na ukosefu wa fedha. Nilianza kuogopa kwamba ningelazimika kufunga kampuni ambayo nilikuwa nimeijenga kwa miaka mingi. Nilikuwa karibu kukata tamaa. SOMA ZAIDI.
Share To:

Post A Comment: