Nilipoanzisha biashara yangu, nilikuwa na ndoto ya kuifanya ikue na kuwa moja ya biashara kubwa katika eneo letu. Nilifanya kazi kwa bidii kila siku. 

Nilihakikisha wateja wanapata huduma nzuri na bidhaa zenye ubora. Ingawa biashara iliendelea kuwepo, mapato yake yalitosha tu kulipa gharama za kawaida.

Nilihitaji mteja mkubwa ambaye angebadilisha hali yangu ya kifedha, lakini sikufanikiwa kumpata. Miaka miwili ilipita bila mafanikio.

Nilituma mapendekezo kwa kampuni mbalimbali na kuhudhuria mikutano mingi ya biashara. Mara nyingi niliahidiwa kwamba ningepigiwa simu, lakini majibu hayakuwahi kufika.

Wakati mwingine nilikaribia kupata mkataba, lakini dakika za mwisho nafasi hiyo ilipewa mtu mwingine. Nilianza kukata tamaa. Nilifikiria hata kufunga biashara na kuanza shughuli nyingine. 

Nilihisi juhudi zangu zote zilikuwa zimepotea bure. Hata hivyo, ndani yangu bado kulikuwa na matumaini kwamba siku moja mambo yangenibadilika. SOMA ZAIDI.
Share To:

Post A Comment: