Kulikuwa na kipindi maishani mwangu ambapo nilikuwa karibu kufunga biashara yangu kwa maumivu makubwa. 

Nilikuwa nimeanzisha biashara yangu kwa juhudi nyingi sana. Nilikuwa naamka mapema kila siku, nikijituma kuhakikisha wateja wanapata huduma nzuri.

Mwanzoni mambo yalikuwa yanaenda sawa, na nilikuwa na matumaini makubwa ya kuona biashara yangu ikikua. Lakini ghafla mambo yakaanza kubadilika.

Biashara nyingine iliyokuwa karibu yangu ilianza kunizidi kwa namna ambayo sikuielewa. Wateja wangu wa kawaida wakaanza kupungua. Wengine walikuwa wanaenda upande mwingine ghafla bila maelezo.

Kilichoniumiza zaidi ni kusikia maneno yaliyokuwa yanaenezwa. Kulikuwa na watu waliokuwa wakisema biashara yangu haikuwa nzuri, bidhaa zangu hazikuwa na ubora, na huduma yangu haikuridhisha wakati nilikuwa najua nilikuwa najitahidi sana.

Polepole nilianza kuhisi kama mshindani wangu alikuwa akifanya kila kitu kuhakikisha ninapoteza wateja. Kwa kweli nilivunjika moyo. 

Kulikuwa na siku nilikaa dukani kwa masaa mengi bila mteja wa maana. Bills zilianza kuongezeka, stock ilianza kukaa sana, na nilianza kujiuliza kama ndoto yangu ilikuwa inaisha.SOMA ZAIDI.
Share To:

Post A Comment: