Kwa miaka mingi, maisha yangu yalikuwa ya hofu na wasiwasi kwa sababu ya pumu. Mwanzoni nilidhani ni hali ambayo ingeisha kadri muda ulivyopita. Lakini kadri nilivyokuwa nakua, mashambulizi ya pumu yakaanza kuwa ya mara kwa mara.
Kulikuwa na siku nilikosa pumzi ghafla usiku, nikaanza kukohoa sana, na familia yangu ikalazimika kunikimbiza hospitalini. Kwa kweli hali ile ilinichosha sana.
Nilikuwa naogopa hata mabadiliko ya hali ya hewa. Vumbi, baridi, moshi, au harufu kali vilikuwa vinanifanya niwe na wasiwasi. Wakati mwingine nilishindwa kushiriki shughuli za kawaida kwa sababu niliogopa kupata shida ya kupumua.
Kilichoniumiza zaidi ni kulazwa hospitalini mara kwa mara. Kulikuwa na nyakati nilihisi kama maisha yangu yalikuwa yamesimama.

Nilifuata dawa nilizopewa hospitalini na kutumia inhaler kama nilivyoelekezwa, lakini bado nilikuwa napata changamoto za mara kwa mara.
Kulikuwa na kipindi nilianza kukata tamaa. Nilikuwa najiuliza kama ningewahi kuishi maisha ya kawaida bila hofu ya kushindwa kupumua ghafla.SOMA ZAIDI.

Post A Comment: