Kulikuwa na kipindi maishani mwangu ambapo nilihisi kama kila kitu nilichorithi kutoka kwa wazazi wangu kilikuwa karibu kupotea. Baada ya baba yangu kufariki, aliacha kipande cha ardhi ambacho familia yetu ilikuwa ikikitegemea sana.
Tuliamini kila kitu kilikuwa sawa kwa sababu tulikuwa tunajua historia ya ardhi ile tangu zamani. Lakini ghafla mambo yalibadilika pale mtu mmoja alipojitokeza akidai sehemu ile ilikuwa yake.
Mwanzoni nilidhani ni misunderstanding ya kawaida. Lakini baada ya muda, jambo lile likafika hadi mahakamani.

Nilishangaa kuona documents zikiletwa, madai tofauti tofauti yakitolewa, na watu ambao sikuwa nawafahamu wakihusika kwenye kesi ile.
Kwa kweli nilichanganyikiwa. Miaka ilianza kupita. Kila hearing ilikuwa inanipa stress kubwa. Mara kesi inaahirishwa, mara lawyer anahitaji gharama nyingine, mara napewa matumaini halafu mambo yanabadilika tena.
Wakati mwingine nilirudi nyumbani nikilia kimya nikihofia familia yangu ingepoteza kila kitu. Kilichoniumiza zaidi ni kuona watu wakianza kunizungumza vibaya.SOMA ZAIDI.

Post A Comment: