Kulikuwa na kipindi maishani mwangu ambacho nilihisi kama dunia yote imenigeuka. Sikuwahi kufikiria siku moja ningejikuta matatani kwa kosa ambalo sikulifanya. Maisha yangu yalikuwa ya kawaida. Nilikuwa najituma kazini na kujali familia yangu.

Lakini siku moja kila kitu kilibadilika ghafla. Nilituhumiwa kwa jambo ambalo sikuwa na uhusiano nalo kabisa. 

Mwanzoni nilidhani ukweli ungejulikana haraka. Nilikuwa na uhakika kuwa watu wangenielewa na mambo yangerudi sawa.

Lakini badala yake, hali ilizidi kuwa mbaya. Watu walianza kunitazama tofauti, baadhi ya marafiki wakaanza kunikwepa, na hata watu wa karibu walionekana kuwa na mashaka nami. Kwa kweli iliniumiza sana.

Kilichoniumiza zaidi ni kuona jina langu likiharibika kwa jambo ambalo sikulifanya. Kulikuwa na wakati nilihisi kama kila mtu tayari alikuwa amenihukumu bila kusikia upande wangu.

Kulikuwa na usiku nilikosa usingizi. Nilikuwa najiuliza kama kweli ningewahi kupata haki yangu au kama maisha yangu yangekuwa vile milele. Hofu ya kupoteza heshima, kazi, na future yangu ilinifanya niishi kwa mawazo mengi sana.SOMA ZAIDI.
Share To:

Post A Comment: