Kulikuwa na kipindi maishani mwangu ambapo nilihisi kama ndoto yangu ilikuwa karibu kuanguka mbele ya macho yangu. Nilikuwa nimewekeza kila kitu nilichokuwa nacho kufungua hoteli yangu ndogo. Ilikuwa ndoto ambayo nilikuwa nimeibeba kwa miaka mingi.
Mwanzoni mambo yalikuwa mazuri wateja walikuwa wanakuja, mapato yalikuwa yanaongezeka, na nilikuwa na matumaini makubwa kuhusu future ya biashara yangu. Lakini ghafla mambo yakabadilika.
Nilianza kuona idadi ya wateja ikipungua. Mwanzoni nilidhani ni msimu mbaya tu wa biashara, lakini kadri wiki zilivyopita, hali ilianza kuwa mbaya zaidi. Siku moja nilipoangalia reviews za online, moyo wangu ulivunjika.
Kulikuwa na reviews nyingi mbaya. Baadhi ya watu walilalamika kuhusu huduma, wengine wakasema mazingira hayakuwa mazuri kama walivyotarajia. Kilichoniumiza zaidi ni kuona baadhi ya comments ambazo nilihisi hazikuwa fair kabisa.SOMA ZAIDI.

Post A Comment: