Kwa miaka mingi nilikuwa na ndoto ya kuanza maisha mapya nje ya nchi. Nilikuwa naamini kupata uraia wa nje kungefungua milango mipya ya opportunities kwa maisha yangu na familia yangu.
Niliona watu wengi wakibadilisha maisha yao baada ya kuhamia nje, na moyoni nilikuwa na tumaini kuwa siku moja na mimi ningefanikiwa. Lakini safari haikuwa rahisi.
Kila nilipoanza mchakato wa application, changamoto zilikuwa zinajitokeza. Mara documents zinaonekana hazijakamilika, mara application inachelewa, mara napokea majibu ya kukataliwa bila kuelewa nilikosea wapi.
Kwa kweli iliniumiza sana. Kilichoniumiza zaidi ni kuona watu nilioanza nao process wakifanikiwa huku mimi nikibaki pale pale. Wakati mwingine nilianza kujiuliza kama ndoto ile ilikuwa kubwa sana kwangu.
Kulikuwa na kipindi nilianza kukata tamaa. Nilikuwa nimechoka emotionally na financially kutokana na process za mara kwa mara ambazo zilionekana kutokwenda popote. Watu wengine walikuwa wakiniambia niache kupoteza muda na nikubali hali ilivyo.SOMA ZAIDI.

Post A Comment: