Kulikuwa na kipindi maishani mwangu ambapo nilihisi biashara yangu ilikuwa karibu kufungwa kabisa.
Nilikuwa nimejenga biashara yangu kwa miaka ya juhudi na kujituma. Mwanzoni mambo yalikuwa mazuri.
Wateja walikuwa wanakuja kila siku, mauzo yalikuwa yanaenda vizuri, na nilianza kuona matumaini ya maisha bora kupitia biashara ile. Lakini ghafla mambo yakaanza kubadilika.
Nilianza kuona wateja wangu wa kawaida wakipungua mmoja baada ya mwingine. Mwanzoni nilidhani ni hali ya kawaida ya biashara, lakini kadri wiki zilivyopita, hali ilizidi kuwa mbaya.
Kilichoniumiza zaidi ni kuona wengi wakihamia kwa competitor aliyekuwa karibu. Mara kwa mara nilikuwa nasikia watu wakisema huko kulikuwa na huduma nzuri zaidi au offers ambazo zilikuwa zinawavutia. SOMA ZAIDI.

Post A Comment: