Kulikuwa na kipindi ambacho nilikuwa karibu kukata tamaa kabisa kuhusu shamba langu. Nilikuwa nimewekeza nguvu nyingi sana kwenye kilimo.
Kila siku nilikuwa naamka mapema kuhakikisha kila kitu kinaenda sawa. Lakini ghafla nilianza kugundua mazao na vifaa vidogo vidogo vinaanza kupotea kwa njia isiyoeleweka.
Mwanzoni nilidhani ni makosa ya kawaida. Lakini kadri wiki zilivyopita, hasara ilianza kuongezeka. Mara napoteza mahindi yaliyokuwa tayari kuvunwa, mara vifaa vya kazi vinatoweka.

Kilichoniumiza zaidi ni kwamba kila nilipojaribu kuuliza watu wa karibu, hakuna aliyekuwa na taarifa yoyote.
Kwa kweli nilichanganyikiwa. Nilianza kufanya ulinzi wa usiku mara kadhaa lakini bado sikuweza kumkamata mtu yeyote.

Wakati mwingine nilifika shambani asubuhi na kukuta dalili kuwa mtu alipita usiku lakini hakuna clue ya kueleweka.
Nilikuwa karibu kuvunjika moyo. Watu wengine waliniambia niache kupambana kwa sababu huenda singepata anayehusika. Lakini moyoni sikuwa tayari kuona jasho langu linaendelea kupotea.SOMA ZAIDI.

Post A Comment: