Kwa muda mrefu nilikuwa mtu wa kulaumiwa kwa kila jambo. Kila kitu kikiharibika, macho yaligeuka kwangu. Kazi ikiyumba, familia ikagombana, biashara ikishindwa jina langu lilitajwa.

Niliambiwa ni mkosi, ninaleta bahati mbaya, na niwe mbali. Nilivumilia kimya kimya, nikijilaumu, nikijiuliza kosa langu ni nini.

Kilichonichanganya ni kwamba, nilipokuwa peke yangu mambo yalikaa sawa kidogo. Lakini kila nilipozingirwa na watu fulani, matatizo yalizidi. Nilipoteza pesa bila sababu, nilikosa usingizi, na nilijihisi mzito kila mara.

Nilianza kujiuliza maswali mazito: je, kweli mimi ndiye mkosi, au kuna watu wanaobeba mikosi wanayonipachika bila kujua? Nilikaa muda mrefu nikihofia kusema ukweli. Kuwaambia watu kuwa huenda wanachangia kuanguka kwangu kulionekana kama kukosa adabu.

Lakini hali ilipozidi, nilijua nikikaa kimya nitaangamia. Niliamua kuchunguza maisha yangu kwa umakini. Ndipo nikagundua mfanano wa kushangaza watu wachache tu walikuwepo karibu nami kila jambo lilipoharibika.Soma Zaidi...https://kiwangadoctor.com/kiswahili/nilikuwa-nachukuliwa-kama-mkosi-siku-watu-wenye-mikosi-walipoondolewa-maisha-yangu-yakabadilika/
Share To:

Post A Comment: