Jina langu ni Osman Said, na kwa miaka kadhaa nilikuwa nikijivunia kuwa mfanyabiashara wa bidhaa za nyumbani. Nilikuwa nauza sabuni, unga, mafuta, na vitu vya matumizi ya kila siku. Biashara yangu ilikuwa ikienda vizuri sana hadi siku moja mambo yakaanza kubadilika bila kueleweka.
Wateja walianza kupotea mmoja baada ya mwingine, bidhaa zikaanza kuharibika ghafla, na pesa zangu zikaisha mikononi bila faida yoyote. Nilijaribu kila njia kurudisha biashara yangu, lakini haikufaulu.
Nilihisi kama mkosi au laana imenitanda. Nilishindwa hata kulipa kodi ya duka, nikalazimika kulifunga. Watu waliokuwa wananinunulia waligeuka na kuanza kunikwepa. Kila usiku nililala nikiwa na huzuni, nikijiuliza nimekosea wapi.
Nilijaribu kuchukua mkopo benki, lakini haukunisaidia kwa sababu nilikuwa tayari nimezama kwenye madeni. Niliwaza hata kuacha kabisa biashara na kurudi kijijini. Soma zaidi hapa
Post A Comment: