Jina langu ni Hellen Wanjiru. Nilikuwa nimeanza kuchukia maisha ya ndoa yangu kwa sababu ya kitu ambacho wanawake wengi hawawezi kukiri hadharani - Nacho ni kuwa mkavu kwa bibi wakati wa tendo. Kusema kweli tendo la ndoa lilikuwa limegeuka kuwa adhabu badala ya raha.
Mume wangu alionekana kukosa furaha kila tulipokuwa pamoja, mara nyingi alikuwa akitoa visingizio ili kuepuka tendo na nilihisi kama ndoa yangu iko hatarini.
Nilijaribu njia nyingi za kiasili na hata kutumia mafuta tofauti nikidhani itanisaidia, lakini hakuna kilichofanya kazi.
Kila usiku nililala nikiwa na mawazo ya huzuni, nikijiuliza kama siku moja mume wangu angeniacha na kuangukia mwanamke mwingine. Hali hiyo ilinipa msongo wa mawazo na hata nikaanza kupoteza kujiamini kwangu kama mwanamke. Soma zaidi hapa
Post A Comment: