Jina langu ni Janet kutoka Arusha. Nilipendana sana na mpenzi wangu wa zamani, Kelvin. Tulikuwa tumedumu kwa zaidi ya miaka mitatu, na kila mtu aliyeniona naye alijua ni suala la muda tu kabla tuchumbiane rasmi. Lakini mambo yalibadilika ghafla.
Bila dalili yoyote, alianza kuniepuka, kupokea simu zangu kwa baridi, na hatimaye akaniambia hatuwezi kuendelea tena. Sikuamini. Nilijaribu kumuuliza nilikosea wapi, lakini aliondoka kimya kimya akaniacha nikiwa nimevunjika moyo.
Nililia kila usiku. Nilishindwa kula, nilishindwa kufanya kazi vizuri, na nilianza hata kupoteza hamu ya kuishi. Nilikuwa nikiingia Instagram na kuona picha zake na mwanamke mwingine. Maumivu hayo yalikuwa makali sana.
Watu waliniambia niusahau, lakini kila mara nilipofumba macho nilikuwa namuona. Nilijua bado nampenda, lakini sikujua nifanye nini ili anirudie. Soma zaidi hapa
Post A Comment: