Nilisimama jukwaani huku mikono yangu ikitetemeka na machozi yakitiririka kama mvua. Watu walikuwa wanashangilia harusi nzuri iliyopambwa vizuri uwanjani, lakini mimi nilikuwa nimevunjika moyo kabisa. Harusi hii haikuwa ya mtu mwingine bali ya mume wangu  na siyo nami, bali na mpango wake wa kando!

Kwa zaidi ya miaka kumi, nilikuwa nimejitoa kwa ndoa yetu. Nilimsaidia mume wangu kuanzisha biashara, nilimzalia watoto wawili, na nilivumilia vingi kwa sababu ya familia yetu. Lakini miezi ya hivi karibuni, nilianza kuona mabadiliko makubwa. Alianza kuchelewa kurudi nyumbani, simu yake ikawa na nenosiri, na mara kwa mara alijificha kuzungumza kwenye simu. Nilipojaribu kumuuliza, aliniambia nakuwa na wivu usio na msingi.

Sikujua kwamba alikuwa anajiandaa kuoa mwanamke mwingine kwa siri. Mpango wa kando ambaye aliniambia ni “mtumishi tu wa ofisi.” Sikuamini macho yangu nilipoalikwa harusi na rafiki yangu aliyedhani kuwa naifahamu familia hiyo. Nilishtuka nilipomwona mume wangu akiwa jukwaani akimvisha pete mwanamke niliyemshuku kwa muda mrefu. Soma zaidi hapa 

Share To:

contentproducer

Post A Comment: