Asubuhi moja ya Jumamosi mjini Morogoro, mke wangu Halima aliniamsha kwa kishindo na kuniuliza kwa sauti ya juu, “Sasa unaniweka kwa nafasi gani? Mbona siku hizi huna hisia nami? Una mpango wa kando, si ndiyo?” Nilibaki nimeduwaa.

Nilijua siku moja angeibua jambo hili, lakini sikutegemea lingekuja kwa hasira hizo. Ukweli ni kwamba sikuwa na mpango wa kando. Nilikuwa nateseka kimya kimya na tatizo la kukosa msisimko wa nguvu za kiume jambo ambalo lilikuwa likinichoma moyo na kuniumiza kila siku.

Kwa zaidi ya miezi saba, kila tulipojaribu kushiriki tendo la ndoa, mwili wangu haukuwa na mwitikio wowote. Nilitafuta kila visingizio: nimechoka, nina msongo kazini, au hata tumbo linaniuma.

Lakini moyoni nilikuwa najua kuwa tatizo halisi ni kwamba mwili wangu haukuwa na msisimko kabisa. Halima alianza kuwa mwenye mashaka, mwepesi wa hasira, na kila mara alinitazama kwa jicho la hofu na mashaka. Hali hii ilitishia ndoa yetu iliyodumu kwa miaka minne kwa upendo na maelewano. Soma zaidi hapa 

Share To:

contentproducer

Post A Comment: