Hospitali moja kubwa jijini Dar es Salaam iliwahi kuandaa wasifu wa kifo kwa mgonjwa ambaye madaktari walithibitisha hakuwa na matumaini ya kupona tena. Wauguzi waliambiwa kuwa muda wowote wangehitajika kutoa taarifa rasmi ya kifo.
Familia yake ilishaandaa jeneza na michango ya mazishi ilianza kutumwa. Lakini kwa mshangao wa kila mtu, mgonjwa huyo aliamka, akapata nafuu ya ghafla, na leo hii anaendesha biashara yake mwenyewe akiwa na afya tele.
Kwa wiki kadhaa, habari hii ilisambaa sana kwenye mitandao ya kijamii huku wengi wakijiuliza, “Huyu jamaa alifufuka?” Au “Ilikuwa bahati tu?” Hii ni hadithi isiyo ya kawaida, lakini kwa Hassan Mussa mwenyewe, aliyepitia masaibu hayo, anasema hiyo si bahati bali ni nguvu ya tiba ya mitishamba ya kweli. Soma zaidi hapa
Post A Comment: