Kila mtu duniani anatamani maisha bora, hali ya kifedha iliyo imara, na furaha ya kuona jitihada zake zikizaa matunda, lakini changamoto za kiuchumi, deni lisilolipika, na mishahara midogo mara nyingi huwasukuma watu wengi katika msongo wa mawazo.
Wengine hujaribu mikopo, biashara zisizofaulu, au kushiriki katika miradi ya kifedha inayowaacha maskini zaidi kuliko walivyokuwa mwanzo.
Kwa miaka mingi nilikuwa nikipambana kuhakikisha familia yangu inapata chakula cha kila siku na karo za shule kwa watoto wangu, lakini kila mara nilihisi kwamba fedha zangu zinapotea kwa kasi kuliko jinsi nilivyokuwa nikipata. Soma zaidi hapa
Post A Comment: