Jina langu ni Koome, maisha yangu hayakuwa rahisi, wazazi wangu wote walifariki nilipokuwa msichana mdogo na nilienda kuishi na shangazi yangu, shangaza pia hakuwa tajiri na hakuweza hata kunipeleka chuoni baada ya shule ya upili.

Kwa hivyo nilianza kwenda kwenye saluni kupata mafunzo na pia kupata ujuzi ambao utanisaidia kupata fedha, miezi sita baadaye, nilimaliza na mafunzo lakini sikuweza kupata fedha nyingi za kuweza kunisaidia kujikwamua kimaisha.


Ilifika hatua shangazi yangu akanitaka niondoke nyumbani kwake kwa kuwa nilikuwa mtu mzima, kuishi peke yangu ilikuwa ngumu sana sembuse nilikuwa sina kazi.

Niliamua kwenda kijijini na kukaa huko, baada ya miezi miwili nikiwa bado kijijini na Bibi yangu, kulikuwa na shughuli ya mahali iliyofanyika katika nyumba ya jirani ambapo binti wa nyumba hiyo alikuwa amepata mume mzuri na tajiri wa kumuoa. Soma zaidi hapa. 

Share To:

contentproducer

Post A Comment: