Jina langu ni Moses, nilikuwa mtu ambaye niliamini michezo ya kamari, mara kwa mara nilicheza michezo hii kwani niliamini kuwa siku moja ningweza kupata fedha nyingi kutokana na michezo hii.
Marafiki zangu wengi walikuwa wameshakata tamaa kutokana na kuliwa fedha zao tu kila wakati bila wao kushinda, ila kwangu haikuwa hivyo, ama kwa hakika atafutaye hachoki!.
Nilicheza michezo ya kubashiri mechi kupitia mitandao kama Sportpesa, siku moja niliamshwa na ujumbe wa simu kutoka kwenye kampuni ya Sportpesa kwamba nilikuwa nimeshinda Sh120 milioni.
Kampuni ile iliniweka kwenye mitandao yao huku vyombo vya habari na mitandao vikitangaza habari yangu, sikuwa na amani kwani katika mtaa wetu nilihofia kwamba watu wenye nia mbaya watakuja kunitoa uhai kwa ajili ya kuchukua fedha zangu.
Nilianza kutafuta namna ya kukabiliana na hali ile kwani nilikuwa nimeshajulikana nchi nzima, nilitaka maisha yangu yasiwe kwenye hatari, sio kila mtu ambaye alikuwa na furaha kufuatia ushindi wangu. Soma zaidi hapa.
Post A Comment: