Asubuhi moja nilijikuta nikikunywa kahawa peke yangu kwenye kona ya nyumba yangu ya kupanga nikiwa najiuliza, “Je, mapenzi ni kwa watu wengine tu?” Nilikuwa nimeishi miaka mitano bila mahusiano ya kweli sio kwa kukosa kujaribu, bali kila mara nilipokaribia mtu, ama walikuwa na nia ya kunitumia ama walikuwa hawako tayari kabisa.
Marafiki zangu walikuwa wamenioa jina “Father Abraham,” kwa sababu nilionekana kuwa na upweke wa maisha ya kitamaduni bila hata matumaini ya mabadiliko.
Kwa umri wangu wa miaka thelathini na tano, sikutaka kuamini kwamba nyota yangu ilikuwa imezimika. Kila nilipoenda kazini, nilikumbana na wapenzi wachanga waliokuwa wakionekana kufurahia maisha.
Kwa upande wangu, nilikuwa nikirudi nyumbani kwenye giza la upweke na kimya cha moyo kilichochoka kuumizwa. Nilijaribu kujiunga na mitandao ya mahusiano, nilijaribu mikutano ya vikundi vya vijana, nilihudhuria sherehe nyingi lakini bado sikupata mtu wa kweli. Soma zaidi hapa
Post A Comment: