Ningekuambia nilivyochoka maisha, usingeamini. Mimi ni mama wa watoto wawili. Nilipoamua kuingia sokoni kuuza vitunguu, nyanya na mboga za majani, nilikuwa na matumaini makubwa. Niliamini bidii yangu ingetosha.
Niliamka kila siku saa kumi alfajiri, nikaenda Marikiti kununua bidhaa, nikarudi sokoni kabla hata kuku hawajawika. Niliweka bidhaa vizuri. Nilitabasamu kwa kila mteja. Nilihimili jua na mvua. Lakini bado, wateja walinipita kama siwapo.
Wengine waliokuwa karibu yangu walikuwa wakinunuliwa kila saa. Wateja walikuwa wanapigana kwao hadi foleni inatokea. Mimi nilikuwa napiga darubini tu. Nilijua sina matatizo ya tabia, bidhaa zangu ni safi, lakini watu hawakunijali.
Nilivumilia kwa mwaka mmoja. Mwaka wa pili nikaanza kusikia watu wakisema kuna wanaotumia dawa ya mvuto wa biashara. Niliwaza sana. Nilitaka kujaribu lakini pia niliogopa kuingia kwa mambo ya ajabu. Soma zaidi hapa.
Post A Comment: