Hii dunia ni ya ajabu. Kuna wakati unajitahidi sana lakini mambo hayaendi. Mimi ni msichana ambaye aliamini katika bidii. Nilisoma hadi nikamaliza chuo. Nilifanya internship bila malipo, nilikuwa nakwenda job kila siku hata kama nilikuwa na nauli ya siku moja tu. Nilijituma. Nilikuwa mtiifu. Lakini kazi ya kudumu haikuwa inakam.
Mara ya kwanza niliitwa kwenye interview ya kampuni kubwa. Nilifaulu written, nikaenda oral, nikangojea call ambayo haikuwahi kufika. Nikaja kusikia nafasi ile ilipewa mtoto wa mkubwa mmoja. Nilikasirika lakini nikavumilia. Mara ya pili, nilipata kazi kwenye kampuni ya usafirishaji.
Nilifurahia, nikaona mwanga. Ila baada ya miezi mitatu waliniambia wamepunguza wafanyakazi. Nikawekwa kwa orodha ya watu wa kuondoka. Nililia kama mtoto mdogo. Nikaanza kuamini labda kuna kitu kinanizuia kimaisha.
Mara ya tatu, nilianza biashara yangu ya mtandaoni. Nilikuwa nauza nguo za thrift. Nilijaribu kila mbinu ya marketing, lakini wateja walikuwa wachache. Watu walikuwa wana-like posts zangu lakini hawakununua. Kila siku ilikuwa hasara. Nikaingia depression kidogo. Nikaanza kukosa hata motisha ya kuamka. Soma zaidi hapa.
Post A Comment: