Hakuna ubishi kuwa kila binadamu ana ndoto kubwa za kufanikiwa kimaisha, lakini ukweli ni kwamba sio kila mwenye ndoto inaweza kutimia na pengine inaweza kutimia ila kwa kuchelewa sana.
Ndivyo maisha yalivyo, wakati mwingine hayakupi kile unachota na wakati mwingine yanakupata ambacho hukutarajia, ndilo fumbo kubwa ambalo lipo katika maisha ya kila siku hapa duniania.
Jina langu Musa, mwaka 2017 nilipata kazi katika kampuni mmoja ya kimaaifa ya kuuza vinywaji baridi, kwa hakika kazi hii ilikuwa ni nzuri na yenye mashahara mzuri ajabu.
Nilikuwa najisemea kimoyo moyo kuwa endapo nitafanya kazi hii kwa miaka miwili tu, basi nitaweza kujenga nyumba hata mbili, kununua gari na mambo mengine makubwa ya kimaendeleo.
Hata hivyo, miezi saba tu katika ajira ile, mambo yalianza kubadiika, kuna wafanyakazi wenzangu ambao walikuwa ni rafiki zangu, walianza kunipiga vita ya chini kwa chini. Soma zaidi hapa
Post A Comment: