Wakati mwingine nilijiangalia kwenye kioo na kujiuliza kama bado ni mimi. Ndoa yangu ilikuwa imelala fofofo hakukuwa na maneno matamu tena, hakukuwa na ile chembe ya hamasa aliyokuwa nayo mume wangu awali.

Alikuwa baridi kama mawe, akijibu kwa maneno mafupi, akikwepa mazungumzo ya faragha, na hata usingizi wetu ulikuwa kama wa ndugu mgongoni bila hata kuagana. Kila nilipojaribu kumvutia, aliniambia, “Si vibaya lakini sina hisia tena.” Moyo wangu ulipasuka.

Nilijua ndoa yetu ilikuwa kwenye njia panda. Nilikuwa najiuliza kila siku: je, kuna mwanamke mwingine? Je, mimi si mrembo tena? Je, ni makosa yangu? Nilijitahidi kubadilisha mavazi, nikajaribu mapishi mapya, nikajisajili hata kwenye mazoezi ya gym lakini bado.

Mume wangu alibaki kuwa baridi. Hata siku moja aliniambia, “Sauti yako inanichosha siku hizi.” Nililia peke yangu, nikihisi kama mwanamke aliyeachwa na mume aliye ndani ya nyumba. Bonyeza hapa kusoma zaidi

Share To:

contentproducer

Post A Comment: