Kwa jina naitwa Faith, na kwa muda mrefu nilikuwa katika uhusiano usioeleweka na mwanaume niliyempenda sana. Nilikuwa mdogo, lakini nilimpenda kwa moyo wangu wote. Tulianza kama marafiki wa karibu, lakini baadaye mambo yakageuka kuwa ya kimapenzi lakini ni upande mmoja tu.

Kwake, nilikuwa wa kujiliwaza kimwili, mtu wa kumkumbuka usiku tu, na mchana hata salamu hapigi. Kila nilipomletea mazungumzo kuhusu kuchukuliwa kwa uzito au hata mipango ya ndoa, alinipuuza kwa tabasamu la kejeli au kunibadilishia mada.

Nilivumilia miaka mitatu katika hali hiyo. Wakati mwingine nilijifariji kwamba labda hajawa tayari, au labda anahitaji muda zaidi. Lakini ukweli ni kwamba sikuwa chochote kwake isipokuwa mwanamke wa kupita.

Niliwahi hata kumletea zawadi siku yake ya kuzaliwa, lakini aliitupa mbele yangu akisema haikuwa na maana kwake. Iliniumiza, lakini bado nilibaki nikitumaini kuwa mambo yatabadilika. Soma zaidi hapa


Share To:

contentproducer

Post A Comment: