Kwa jina naitwa Baraka, kijana wa miaka 27 kutoka Iringa. Nilikuwa na uhusiano na msichana mmoja kwa karibu miaka miwili. Tulianza mapenzi yetu nikiwa bado nasoma chuo na tukaendelea hata baada ya kuhitimu. Nilimpenda kwa dhati, na hata familia yangu walishamjua kama mchumba wangu wa maisha.

Lakini kuna siku moja tu mambo yalibadilika. Tulikuwa na mjadala mdogo kuhusu mustakabali wetu, na nikadhani ilikuwa ni mjadala wa kawaida kama wanandoa wa baadaye. Lakini msichana wangu aliona tofauti alitafsiri mazungumzo yale kama red flag, na kuniblock kila mahali. Nilishtuka.

Nilijaribu kumtafuta kwa simu ilikuwa busy au haipatikani. WhatsApp, Facebook, Instagram, hata TikTok, kila mahali niligundua kuwa nimemfungiwa. Iliniumiza sana. Hakukuwa na onyo, wala maelezo.

Rafiki yake mmoja ndiye aliniambia kwamba eti msichana wangu ameamua kuchukua muda kujitunza na kwamba amegundua “sioni future”. Kisingizio cha “red flag” kilikuwa kikatili kwangu. Soma zaidi hapa 

Share To:

contentproducer

Post A Comment: