Wakati mwingine mapenzi yanaweza kukuumiza hadi unasikia kama dunia imekupiga chini kwa nyundo nzito. Nilikuwa kwenye uhusiano wa miaka mitatu na Jamal.
Tulikuwa marafiki wakubwa, tulikuwa na ndoto za pamoja, na tulikuwa tunaishi kama wachumba japokuwa hatukuwa tumeoana bado. Nilijitahidi kumpenda kwa moyo wangu wote, nikamtunza hata kipindi hana kazi. Nilimwamini hata zaidi ya familia yangu.
Lakini mambo yalibadilika ghafla. Jamal alianza kuwa distant. Alikuwa hapokei simu zangu haraka kama zamani. Mara nyingine alikuwa na mood mbaya sana, hata hakutaka kuzungumza. Nilivumilia, nikaamini labda ni stress za maisha.
Hadi niliposikia kutoka kwa jirani kuwa amekuwa akionekana na mwanamke mmoja tajiri sana wa mjini. Mwanamke ambaye ana gari, biashara, na nyumba kubwa. Nilishindwa kuamini. Nilidhani ni uzushi. Soma zaidi hapa.
Post A Comment: