Msimamizi wa Uchaguzi Wilaya ya Makete, Ndg William M. Makufwe, mapema leo asubuhi ya Novemba 27,2024 amepiga kura ya kumchagua Kiongozi wa Kitongoji cha Dombwela, katika kituo cha kupigia kura kilichopo katika Ofisi za Mamlaka ya Mji mdogo wa Iwawa.

Share To:

Post A Comment: