Airtel imechukua jukumu la kudhamini mchezo wa Golf wa Maclinmarck kwa kushirikiana na club ya gymkan ambapo mchezo huo ni mahususi na wenye heshima kubwa popote duniani
Akizungumza na waandishi wa habari Jijini Arusha Mkurugenzi wa biashara kutoka Airtel makao makuu Joseph Muhere amesema wamechukua jukumu la udhamini wa kila mwisho wa mwezi mashindano ya Monthly Mug kwa kushirikiana na Klabu ya Gymkhana lengo likiwa kuwaleta watu kuufahamu mchezo huo na kuhakikisha unakua,vilevile amewasihi vijana kupata utaratibu wa kujiunga katika klabu hizo.
Amesema Golf ni mchezo unawaleta pamoja kama sehemu muhimu ya kukutana na watu wengi na kuhadili Mambo ya biashara, uchumi na maendeleo kwa ujumla kwani mchezo huo ni mahususi na wenye heshima kubwa duniani
"Watu wengi ukiongelea michezo wanajua tu Mpira wa miguu, bila kujua Golf ni mchezo Mahususi na wenye heahima Sana popote duniani unafahamika. Sana wa Tanzania jiungeni na club hii yapo matawi mengi Ila sisi tumeanzia Arusha"
Amesema kuwa IPO Dhana kuwa mchezo huo ni wa matajiri, mtu ukifuata utaratibu ni mchezo kama ilivyo michezo mingine
Ukijifunza utaelewa Mimi nilikuwa sijui kucheza nimefundishwa na sasa nauelewa , hivyo Airtel tu me kuwa balozi wa kuwapelekea tasrifa vijana na watu wengi juu ta mchezo huu, siyo mchezo wa matajiri, wazee hapana ni kufuata tu utaratibu waweze kuendeleza vipaji
Akizungumza Mara baada ya kushiriki mashindano hayo Paul Matthysen katika mashindano ya Monthly Mug ambao ni mchezo unaochezwa kila mwisho wa mwezi ambapo umefadhiliwa na Airtel ambapo waoikuwa wachezaji wapatao 36
Amesema wao kama mchezaji wa siku nyingi zipo moja ya faida ni pamoja na kujiweka sawa kimwili
Aidha amewataka wazazi kuwashauri vijana kujiunga na mchezo huu wa Golf japokuwa ni mchezo wa gharama Ila zipo faida za kuimarisha Afya vilevile ni ajira.
Tunaiomba Airtel iwanunulie vijana vijana vya Golf kwani Kununua golf kit ni siyo chini ya dola 1500 karibia mil 4 na kuna vitu bingo
"Inasikitisha vijana hawataki kucheza golf kwani wachezaji wengi hodari duniani ni vijana Sisi wazee tunapita hakuna vijana wa kuwaachia huu mchezo sasa". Alisema mchezaji huyo wa siku nyingi
Abass Raj ni meneja mashindano kutoka klabu ya Golf ya gymcana Jijini Arusha amesema mashindano hayo yanachezwa kwa miezi 12 ambapo yamedhaminiwa na Airtel Tanzania amesema yatawasaidia kuongeza ujuzi wa mchezo huo
"Mchezo huo ni wazi kwa watu wore, wa Toto, wanaume na wanawake pia wanacheza "
Akizungumza Mara baada ya kushiriki mashindano hayo golf Paul Matthysen katika mashindano ya Monthly Mug ambao ni mchezo unaochezwa kila mwisho wa mwezi ambapo umefadhiliwa na Airtel jumla ya washiriki walikuwa wachezaji wapatao 36
Amesema wao kama mchezaji wa siku nyingi zipo moja ya faida ni pamoja na kujiweka sawa kimwili
Aidha amewataka wazazi kuwashauri vijana kujiunga na mchezo huu wa Golf japokuwa ni mchezo wa gharama Ila zipo faida za kuimarisha Afya vilevile ni ajira.
Tunaiomba Airtel iwanunulie vijana vijana vya Golf kwani Kununua golf kit ni siyo chini ya dola 1500 karibia mil 4 na kuna vitu bingo
"Inasikitisha vijana hawataki kucheza golf kwani wachezaji wengi hodari duniani ni vijana Sisi wazee tunapita hakuna vijana wa kuwaachia huu mchezo sasa". Alisema mchezaji huyo wa siku nyingi
Kwa upande wake meneja mashindano kutoka klabu ya Gymcan Jijini Arusha Abass Lalji amesema udhamini wa Airtel katika mchezo huo utaongeza hadhi ya Golf kwenye klabu hiyo
" Mchezo huu wanacheza watoto watu wazima vilevile wanawake wanacheza inategemea na utayari wa mtu" Alisema
Post A Comment: